• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Maonyesho ya nyumba ya kila mwaka yaanza 11 hadi 14 Nairobi

  (GMT+08:00) 2018-10-11 19:45:43

  Awamu ya 27 ya maonyesho ya nyumba ya kila mwaka yameanza rasmi hii leo jijini Nairobi.

  Maonyesho haya ya siku nne na makubwa zaidi Afrika mashariki na kati, yanaandaliwa katika jumba la kimatafa la mikutano KICC .

  Mwaka huu wakenya wa kipato wastani watapewa fursa za kumiliki nyumba kwa bei rahisi kupitia mbinu mpya za malipo.

  Serikali ya Kenya itatoa uniti milioni 1 za nyumba katika mda wa miaka 5 ijayo .

  Asilimia 20 ya malipo hayo yatasimamiwa na serikali kupitia ujenzi wa jamii na asilimia 80 ikiwa ni ushirikiano wa sekta binafsi.

  Aidha wakenya wa kipato cha chini pia wametakiwa kufika kujipatia nafasi ya kumiliki nyumba za bei ndogo, kulingana na kipato chao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako