• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rafael Nadal asaidia wahanga wa mafuriko nchini mwake.

  (GMT+08:00) 2018-10-12 08:36:35

  Mchezaji namba moja duniani wa tenisi Rafael Nadal ambaye ni raia wa Uhispania amewasaidia waathiriwa wa mafuriko katika mkoa wake wa Majorca nchini Hispania kwa kufungua taasisi yake ya mchezo wa tenisi kwa wahanga wa mafuriko waliopoteza makazi na kusaidia katika zoezi la kusafisha na kuondoa matope na maji eneo lililokumbwa na mafuriko.

  Nadal ameruhusu wahanga hao kuishi katika taasisi yake hiyo na kuwapatia huduma zote wanazotakiwa.

  Hadi sasa jumla ya watu 10 wamepoteza maisha kutokana na mafuriko hayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako