• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IS wateka familia 130 mashariki mwa Syria

    (GMT+08:00) 2018-10-13 16:59:55

    Waangalizi wa haki za binadamu nchini Syria wamesema kundi la IS limeziteka zaidi ya familia 130 zinazoishi uhamishoni katika jimbo la mashariki mwa nchi hiyo la Deir al-Zour.

    Aidha waangalizi hao hawajaeleza kwa kina Zaidi suala hilo isipokuwa wamesema kulikuwa na mapigano makali yaliyodumu kwa saa 65 kati ya IS na majeshi ya Syria yanayoungwa mkono na majeshi ya Marekani.

    Inaelezw akuwa majeshi ya Syria yamefanikiwa kuyakomboa maeneo mengi yaliyokuwa yanashiliwa na IS ambapo kwa sasa inakadiriwa kuwa imebaki sehemu ya asiilimia ndogo sana takribani asilimia moja ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako