• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Netanyahu alionya kundi la Hamas kufuatia kuongezeka kwa machafuko katika mpaka wa Gaza

    (GMT+08:00) 2018-10-15 10:01:20

    Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanuahu amelionya kundi la Hamas akisema litapata hasara kubwa kama litaendelea na mashambulizi ya kimabavu dhidi ya Israel katika uzio wa mpaka wa usalama katika Ukanda wa Gaza. Ijumaa iliyopita, waandamanaji elfu 15 walichoma matairi na kurusha mawe, vifaa vya milipuko na makombora dhidi ya askari wa Israel, na kwa mujibu wa ripoti za Palestina, waandamanaji watano waliuawa wakiwemo watatu waliojaribu kuvuka uzio na kufika kwenye kituo cha jeshi la Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako