• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pato la kampuni zinazoendeshwa na serikali kuu ya China laongeza kwa asilimia 11 katika robo ya tatu ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-10-15 18:34:27

    Msemaji wa kamati ya usimamizi wa mali za taifa ya baraza la mawaziri la China Bw. Peng Huagang amesema, pato la kampuni zinazoendeshwa na serikali kuu ya China limefikia dola za Marekani bilioni 3.05 katika robo tatu ya mwanzo ya mwaka huu, ambalo limeongeza kwa asilimia 11 ikilinganishwa na mwaka jana wakati kama huu.

    Bw. Peng amesema, katika kipindi hicho, kampuni hizo zimewekeza mali zisizohamishika zenye thamani ya dola za marekani bilioni 217, ambayo imeongeza kwa silimia 2.7. Ongezeko la uwekezaji huo limetokea katika sekta za kuboresha maisha ya watu, maendeleo endelevu na teknolojia ambapo uwekezaji katika makaa ya mawe na uzalishaji wa umeme kwa nguvu ya moto umepunguza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako