• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Total yatenga Sh65 milioni kwa mawazo mazuri ya biashara

    (GMT+08:00) 2018-10-16 19:28:58
    Kampuni ya mafuta ya Total imetangaza kutoa Sh65 milioni kwa vijana watatu wenye mawazo mazuri ya biashara nchini Tanzania.

    Kiasi hicho kitatolewa kwa wabunifu hodari watakaokuwa na mawazo yanayogusa jamii kwa kiasi kikubwa.

    Mkurugenzi wa uhusiano na sheria wa kampuni hiyo, Masha Kileo amesema fedha hizo zitatolewa kwa washindi watatu wa shindano wanaloliendesha na kuwahusisha vijana wote wenye mawazo mazuri lakini wanakabiliwa na ukosefu wa mtaji kuyafanikisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako