• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wawili wa Somalia wauawa katika mapambano na wapiganaji wa al-Shabab

    (GMT+08:00) 2018-10-17 09:15:17

    Askari wawili wa Somalia wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika mapambano na wapiganaji wa kundi la al-Shabab katika eneo la Hiraan, katikati ya Somalia. Kamanda wa jeshi la taifa la Somalia katika mkoa huo Farah Koshin amethibitisha kutokea kwa vifo na majeruhi hayo yaliyotokea baada ya msafara wao uliokuwa ukielekea mji wa Bula-burte kushambuliwa kwa bomu lililotwegwa ardhini. Hata hivyo amesema askari hao wanaoungwa mkono na vikosi vya Umoja wa Afrika, waliharibu mtandao wa wapiganaji wa al-Shabab katika eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako