• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msomi wa Afrika Kusini asema uhusiano kati ya Afrika na China ni wa kunufaishana

    (GMT+08:00) 2018-10-17 09:46:04

    Mkurugenzi wa Chuo cha Confucius cha Chuo Kikuu cha Johannesburg nchini Afrika Kusini Bw. David Monyae, jana alipotoa hotuba kuhusu uhusiano kati ya Afrika na China kwenye Chuo Kikuu cha Witwatersrand, amesema uhusiano kati ya Afrika na China ni wa kunufaishana, na China ina uzoefu mkubwa wa kuigwa na Afrika kwenye kupunguza umaskini na kupambana na ufisadi.

    Amewataka watu wa Afrika wasisikilize sauti ya mtego wa madeni, akisema deni la China kwa nchi za Afrika, ni dogo kuliko la nchi nyingi za Magharibi.

    Bw. Monyae ameongeza kuwa viongozi wa nchi za Afrika wanatakiwa kufanya mazungumzo na China kwa njia ya haki na ya ukweli, badala ya kusikiliza propaganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako