• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laikabidhi Palestina madaraka ya kutekeleza kazi zinazohusiana na nchi mwenyekiti wa kundi la nchi 77

    (GMT+08:00) 2018-10-17 19:13:32

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeridhia kuikabidhi Palestina madakara 6 wakati itakaposhika zamu ya kuwa nchi mwenyekiti wa kundi la nchi 77, hivyo kuondoa vikwazo kwa kutekeleza majukumu kwa Palestina.

    Baraza hilo limefikia hatua hiyo kwa matokeo ya kura 146 za ndiyo, kura 3 za hapana na nchi 15 hazikupiga kura.

    Madaraka yaliyokubadhiwa kwa Palestina ni pamoja na kutoa taarifa kwa niaba ya kundi la nchi 77 na China, kuwasilisha mswada au mswada wa marekebisho, kujibu maswali kuhusu misimamo, na kutoa mapendekezo ya utaratibu, ili kuhakikisha Palestina kutekeleza majukumu ya mwenyekiti bila ya matatizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako