• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wa Uganda na raia wauawa katika shambulizi nchini Somalia

    (GMT+08:00) 2018-10-18 08:31:07

    Jeshi la Uganda limesema askari wake mmoja na raia mmoja wa Somalia wameuawa katika shambulizi lililotokea katika mji wa Marka, eneo la Lower Shabelle, kusini mwa Somalia. Wakati huohuo, wapiganaji 11 wa kundi la al-Shabaab lililofanya shambulizi hilo pia wameuawa katika makabiliano ya kijeshi. Askari hao wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM walikuwa wakifanya doria kabla ya rais Mohamed Abdullahi Farmajo kufanya ziara katika eneo hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako