• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya Biashara ya Marekani yasema hakuna mshirika mkuu wa kibiashara anayedhibiti sarafu

    (GMT+08:00) 2018-10-18 08:31:31

    Wizara ya Biashara ya Marekani imesema hakuna mshirika mkuu wa kibiashara wa Marekani anayedhibiti sarafu. Hata hivyo, kwa mujibu wa ripoti yake iliyowasilishwa kwa bunge kuhusu uchumi wa kimataifa na sera za kiwango cha ubadilishaji wa sarafu, China, Ujerumani, India, Japan, Korea Kusini na Uswisi ziko katika orodha ya usimamizi, ambayo inamaanisha kuwa sera zao za ubadilishaji wa sarafu zinafuatiliwa kwa karibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako