• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Magari: Hamilton ashindwa kupata ubingwa muhimu jana

    (GMT+08:00) 2018-10-22 08:45:34

    Kimi Raikkonnen wa Finland, jana ametwaa taji la ushindi wa mashindano ya mbio za magari ya mwendokasi za Marekani baada ya kukamata nafasi ya kwanza kwa kutumia saa 1 dakika 34 na sekunde 18.

    Mshindi wa pili kwenye mbio hizo alikuwa Max Verstappen wa Uholanzi, na mshindi wa tatu akiwa ni Lewis Hamilton wa Uingereza.

    Ushindi Kimi umefuta tumaini la Hamilton kutawazwa wiki hii kuwa bingwa wa mwaka huu wa mashindano ya magari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako