• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda-Serikali yakadiria mapato ya $800m katika madini

    (GMT+08:00) 2018-10-24 20:46:35

    Serikali ya Rwanda inakadiria ukuaji mkubwa katika mapato yake ya madini katika mwaka wa sasa wa fedha kutokana na utofauti,nyongeza ya thamani,na uthabiti katika bei za kimataifa.

    Kulingana na Bodi ya Migodi,Petroli na Gesi ya Rwanda (RMB) Mapato ya nchi hiyo mauzo ya nje ya madini yanakadiriwa kufika $800 milioni mwaka huu,kutoka $399 milioni mwaka 2017/18.

    Hii inamaanisha kuwa mauzo ya madini yatawakilisha asilimia 38.7 ya jumla ya mapato yote ya mauzo ya nje ya nchi.

    Miongoni mwa vipengee vya utofauti ni vito vya johari,ambapo Rwanda ina vito vingi ambavyo vinaweza kuwa na thamani katika soko la kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako