• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya kwenye hatari ya madeni

    (GMT+08:00) 2018-10-25 20:02:15

    Huenda Kenya ikashindwa kulipa madeni yake.

    Haya ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la kimataifa la fedha duniani iliyobainisha kwamba viwango vya madeni ya Kenya vimefikia hatua ya wastani kutoka chini.

    Deni la nje la Kenya limeongezeka sana kutoka mwaka 2015 na litatatiza mapato ya jumla ya nchi.

    Licha ya juhudi za serikali kuongeza ushuru kwa bidhaa za petroli ili kuongeza mapato yake,hatua hiyo pekee haitatosheleza juhudi za kupambana na madeni kwa sasa.

    IMF sasa imeonya kwamba tatizo lolote la kifedha litakalojiri kwa njia yoyote kama mfano wa dharura ama mikasa ,basi Kenya itajipata katika msukosuko wa kifedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako