Rais Xi Jinping wa China hivi karibuni amefanya ukaguzi mkoani Guangdong na kusitiza kuwa, baada ya kuingia katika zama mpya, hali ya ndani na ya kimataifa inaendelea kubadilika, mageuzi na maendeleo yanakabiliwa na hali mpya, na changamoto mpya na majukumu mapya. Amesema ni lazima kutumia fursa, kukabiliana na changamoto na kuendelea kuimarisha mageuzi na kufungua mlango kwa pande zote.
Kuanzia Oktoba 22 hadi 25, rais Xi amefanya ukaguzi na utaifi katika miji ya Zhuhai, Qingyuan, Shenzhen na Guangzhou, mkoani Guangdong.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |