• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Suarez apiga Hat Trick, Barca yaifumua Madrid

    (GMT+08:00) 2018-10-29 10:41:17
    Mshambuliaji Luis Suarez wa Barcelona alishangilia kwa kuonyesha picha ya mtoto wake mpya baada ya kufunga mabao matatu peke yake na kufanya timu yake ya Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Real Madrid kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uhispania La Liga uliopigwa kwenye uwanja wa Nou Camp.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako