• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chelsea yaendeleza ubabe, Arsenal yalazimishwa sare

    (GMT+08:00) 2018-10-29 10:41:34
    Chelsea fc aka the blues imeitandika wenyeji wao Burnley magoli 4-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza mchezo uliopigwa uwanja wa Turf Moor.

    Nayo Arsenal imelazimishwa sare ya 2-2 na Crystal Palace huku Manchester United ikiifunga Evarton 2-1, Paul Pogba akifunga la kwanza nakuseti bao la pili mchezo uliochezwa uwanja wa Old Trafford.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako