• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ligi Kuu Tanzania Bara: Makambo airudisha Yanga nafasi ya pili

  (GMT+08:00) 2018-10-31 08:42:13

  Timu ya Yanga ya Dar es salaam imerudi katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya ushindi kiduchu wa goli 1-0 dhidi ya Lipuli fc ya Iringa mechi iliyopigwa usiku jana uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

  Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo la pekee mshambuliaji Heritier Makambo anayetokea Jamhuru ya kidemokrasia ya Congo (DRC) katika dakika ya tisa ya mchezo akimalizia pasi ya kiungo mzawa Mrisho Ngasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako