• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Edinson Cavani atwaa tuzo hii kubwa mbele ya Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Luis Suarez

  (GMT+08:00) 2018-11-01 08:50:52

  Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Uruguay, Edinson Cavani ameshinda tuzo ya Golden Foot Award kwa mwaka 2018 iliyofanyika jijini Monaco.

  Pasipo kutarajiwa na wengi Cavani ameweza kutwaa tuzo hiyo mbele ya wachezaji bora duniani, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

  Tuzo ya Golden Foot award huwandaliwa na World Champions Club ambapo lengo kuu ni kutambua mafanikio ya wachezaji wa kulipwa ambao wamefanikiwa kucheza kuanzia mechi 28 na kuendelea kuhu mshindi wake hupatikana baada ya kupigiwa kura na umma,vyombo vya habari na watambuzi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako