• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kazi mbalimbali za matayarisho ya majumba makuu ya maonesho ya CIIE zamalizika

  (GMT+08:00) 2018-11-02 10:25:16

  Tarehe 1 Novemba, kazi mbalimbali za matayarisho ya majumba makuu ya Maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China CIIE kimsingi zimemalizika. Wafanyakazi na watu wanaojitolea wamepiga picha pamoja na maskoti wa maonesho hayo iitwao Jinbao. Habari zinasema maonesho hayo yatakayofanyika kuanzia tarehe 5 hadi 10 Novemba mjini Shanghai, yanatarajiwa kuvutia makampuni zaidi ya 3,000 kutoka nchi na sehemu zaidi ya 130 duniani, ambayo ni pamoja na makampuni 200 yenye nguvu kubwa zaidi kwenye sekta zao.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako