• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kufanyiwa duru ya tatu ya ukaguzi wa haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2018-11-02 16:28:39

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang leo hapa Beijing amesema, China itafanyiwa duru ya tatu ya ukaguzi wa haki za binadamu na Umoja wa Mataifa huko Geneva kuanzia tarehe 6 hadi tarehe 9 mwezi huu.

    Bw. Lu akisema serikali ya China inatilia maanani ukaguzi huo na imewasilisha ripoti ya haki za binadamu za taifa kwenye Umoja wa Mataifa, pia itatuma ujumbe wa ngazi ya juu kujiunga na ukaguzi huo. China inataka kufanya mazungumzo ya kimkakati na pande mbalimbali kwa msimamo wa dhati wa kufungua mlango kwa nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako