• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Maonesho ya CIIE ya China yavutia makampuni zaidi ya elfu moja kutoka nchi 58 za Ukanda Mmoja, Njia moja

  (GMT+08:00) 2018-11-03 17:45:24

  Habari kutoka maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China CIIE zimesema kwamba maonesho hayo yamevutia makampuni zaidi ya elfu 3 kutoka nchi na sehemu zaidi ya 130, ambapo thelathini na moja ni kutoka nchi za Ukanda Mmoja, Njia moja.

  Naibu waziri wa biashara wa China Bw. Wang Bingnan amesema katika miaka 15 ijayo, China inatarajia kuagiza bidhaa zenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 2.4, na kwamba maonesho hayo yatatoa fursa mpya kwa nchi husika duniani zikiwemo nchi za Ukanda Mmoja, Njia moja kupanua kuuza bidhaa zake nchini China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako