• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping asema maonesho ya kimataifa ya bidhaa zinazoingizwa China ni hatua kubwa katika historia ya maendeleo ya biashara ya kimataifa

  (GMT+08:00) 2018-11-05 10:41:51

  Rais Xi Jinping wa China leo tarehe 5 alipotoa hotuba mjini Shanghai, amesema maonesho ya kimataifa ya bidhaa zinazoingizwa China ni maonesho ya kwanza kitaifa ya uingizajibidhaa kutoka nje duniani, ambayo ni hatua kubwa katika hostoria ya maendeleo ya biashara ya kimataifa.

  Anaona kuandaa maonesho hayo ni uamuzi muhimu wa kuhimiza duru mpya ya China kufungua mlango, na ni hatua kubwa ambayo China inafanya juhudi kufungua soko kwa dunia. Maonesho hayo yanaonesha msimamo wa siku zote wa China katika kuunga mkono utaratibu wa biashara ya pande mbalimbali na kuhimiza biashara huria, pia ni kitendo halisi cha China kusukuma mbele kujenga uchumi wa kufungua mlango wa dunia, na kuunga mkono utandawazi wa uchumi duniani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako