• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais Xi Jinping asema kufungua mlango ni alama dhahiri ya China

  (GMT+08:00) 2018-11-05 10:51:15

  Rais Xi Jinping wa China amesema kufungua mlango ni alama dhahiri ya China. Rais Xi amesema katika miaka 40 iliyopita tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango, China inashikilia kufanya ujenzi kwa kufungua mlango, kutimiza mabadiliko makubwa ya kihistoria ya kufungua mlango kwa pande zote, na inaendelea kupanua ufunguaji mlango na kujiendeleza, na kuleta manufaa kwa dunia. Amesema China haitaacha hatua zake za kuhimiza kufungua mlango kwenye kiwango cha juu zaidi, kujenga uchumi wa dunia wa aina ya kufungua mlango na kujenga jumuiya ya mustakabali wa pamoja ya binadamu.

  Rais Xi amesisitiza kuwa, China itaendelea kufuata mikakati ya kufungua mlango iliyo ya kufanya ushirikiano wa kunufaishana, China siku zote ni mhimizaji muhimu wa kufungua mlango kote duniani, ni nguvu thabiti na tulivu ya ongezeko la uchumi wa dunia, ni soko kubwa lenye nguvu ya kupanua fursa za biashara kwa nchi mbalimbali, na ni mchangiaji wa usimamizi na mageuzi ya dunia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako