• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China ina mazingira mengi mazuri ya kudumisha maendeleo mazuri, ya kudumu na utulivu ya uchumi

  (GMT+08:00) 2018-11-05 11:28:49

  Rais Xi Jinping leo amesema kuwa, kwa kulinganishwa na makundi mengine makubwa ya uchumi duniani, ongezeko la uchumi la China bado liko katika nafasi ya mbele duniani, na China ina mazingira mengi mazuri ya kudumisha maendeleo mazuri, ya kudumu na utulivu ya uchumi.

  Anaona kuwa, uchumi wa China unaendelea kwa utulivu, masharti ya uzalishaji ya kuunga mkono maendeleo ya kiwango cha juu hayajabadilika, mwelekeo wa jumla wa uchumi unaoendelea vizuri kwa haujabadilika, uwezo wa marekebisho na udhibiti wa taifa unaimarishwa siku hadi siku, na kazi ya kuendeleza mageuzi kwa kina na kwa pande zote inatoa nguvu bila kusita kwa ajili ya maendeleo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako