• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China akutana na wajasiriamali wanaoshiriki kwenye maonyesho ya kimataifa ya bidhaa za nje ya China

  (GMT+08:00) 2018-11-05 16:37:30

  Rais Xi Jinping wa China leo amekutana na wajasiriamali wa kigeni wanaoshiriki kwenye maonyesho ya kwanza ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje ya China (CIIE) mjini Shanghai.

  Rais Xi amesema, huu ni mwaka wa 40 tangu China ifuate sera ya mageuzi na kufungua mlango, na China inafanya kazi pamoja na jumuiya ya kimataifa kujenga jamii yenye hatma ya pamoja. Amesema China imetambulisha mfululizo wa sera za kufungua mlango na itaendelea kutoa sera za aina hiyo, na kuwa mwenyeji wa maonyesho hayo ni moja ya sera hizo.

  Maonyesho hayo ya siku sita yaliyoanza leo ni ya kwanza duniani ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nje ya nchi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako