• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi ya mabingwa Afrika: Fainali kupigwa Ijumaa hii

  (GMT+08:00) 2018-11-07 09:06:34
  Fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika itapigwa Ijumaa hii kati ya Esperance itakapoikaribisha Al Ahly kwenye uwanja wa Olimpiki mjini Rades Tunisia.

  Mshambuliaji wa Al Ahly ya Morocco Walid Azaro atakosa mechi hiyo baada ya kufungiwa mechi mbili na kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Afrika (CAF).

  Al Ahly inahitaji sare tu ya aina yoyote au kufungwa kwa tofauti ya goli moja tu ili kutwaa taji hilo la ligi ya mabingwa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako