• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa biashara wa Senegal asema CIIE imeweka jukwaa kubwa kwa kampuni za nchi mbalimbali

    (GMT+08:00) 2018-11-07 16:46:57

    Waziri wa biashara wa Senegal Bw. Alioune Sarr ambaye anaongoza ujumbe wa nchi hiyo katika maonesho ya kwanza ya kimataifa ya uagizaji bidhaa ya China (CIIE), amesema, maonesho hayo yamekuwa ni jukwaa kubwa la mawasiliano kwa kampuni za nchi mbalimbali.

    Bw. Sarr amesema kutilia maanani ufunguaji mlango ni uamuzi muhimu wa China, na sera hiyo inaweza kuifanya China ivutie uwekezaji zaidi wa wenzi wa biashara, pia inaweza kuhimiza ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara unaoshirikisha pande mbili au pande nyingi, vilevile inaweza kuifanya China itoe nafasi nyingi za ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako