• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Madogo wa Everton wawafundisha kabumbu Gor Mahia

  (GMT+08:00) 2018-11-08 08:44:20
  Licha ya kupangiwa kikosi cha watoto watupu, mbele ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani wa Kenya Rail Odinga aliyefunga safari kuwapa nguvu vijana wake, timu ya Gor Mahia imekubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Everton ya Uingereza katika mchezo wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Goodson.

  Mabao 4-0 yametosha kabisa kuwazimisha mabingwa hao mara mbili wa kombe la Sportpesa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako