• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Masumbwi: Mayweather amshangaza McGregor kuzipiga na kijana

  (GMT+08:00) 2018-11-08 08:44:57
  Bondia machachari Conor McGregor ameshangazwa na maamuzi ya Floyd Mayweather kutangaza kupambana na kijana wa miaka 20 raia wa Japan, Tenshin Nasukawa.

  Kupitia mitandao yake ya kijamii, McGregor ameandika maneno makali yanayomhusu Floyd baada ya kutangaza rasmi kuzipiga na mpambanaji huyo wa 'kickboxer.

  Lakini kauli hizo zimejibiwa na Mayweather kuwa kwenye mchezo wa masumbwi hakuna alichobakiza zaidi ya kutazama mkwanja anaoingiza baada ya pambano hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako