• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makubaliano yenye thamani ya dola bilioni 57.83 za Kimarekani yamefikiwa kwenye maonesho ya CIIE

    (GMT+08:00) 2018-11-10 21:06:11

    Makubaliano ya kununua bidhaa na huduma yenye thamani ya dola bilioni 57.83 za Kimarekani yamefikiwa kwenye maonesho ya kwanza ya kimataifa ya China CIIE, yaliyofungwa leo mjini Shanghai.

    Kwa mujibu wa naibu mkurugenzi wa Bodi ya CIIE Sun Chenghai, Jumla ya nchi 172, kanda na mashirika ya kimataifa, na zaidi ya makampuni 3,600 yameshiriki kwenye maonesho hayo ya siku sita, yaliyovutia zaidi ya wanunuzi wa ndani na nje wapatao 4,000. Makubaliano ya ununuzi wa nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" yamefikia dola bilioni 4.72 za Kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako