• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mauzo katika dakika mbili za kwanza za siku ya punguzo kubwa kwenye biashara ya mtandao yafikia dola bilioni 1.4

  (GMT+08:00) 2018-11-11 17:49:50

  Mauzo katika dakika mbili za kwanza za siku ya punguzo kubwa kwenye biashara kwa njia ya mtandao wa internet, ambayo hapa China ni maarufu kama siku ya makapera, yamefikia dola za kimarekani bilioni 1.4. Kwa mujibu wa kampuni ya Alibaba, inayomiliki tovuti ya Tmall, zaidi ya chapa elfu 19 kutoka nchi 75 duniani zimeshiriki kwenye mauzo hayo.

  Tarehe 11 mwezi wa 11 inaadhimishwa na vijana wa China kama siku ya makapera, siku hii imechaguliwa kwa kuwa moja moja zinamithilisha mtu mmoja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako