• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kulijenga jeshi la anga liwe la kisasa

    (GMT+08:00) 2018-11-12 09:06:15

    Jeshi la anga la China limetangaza mpango wa kujijenga kuwa na nguvu na la kisasa. Naibu mkuu wa jeshi la anga la China Luteni Jenerali Xu Anxiang amesema kwenye maadhimisho ya miaka 69 ya kuanzishwa kwa jeshi la anga la China huko Zhuhai, kusini mwa China, kuwa ujenzi huo unaendana na lengo la kuimarisha ulinzi wa taifa na ujenzi wa majeshi, na ujenzi huo utatekelezwa kwa hatua tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako