• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waethiopia watamba mbio za Beirut

    (GMT+08:00) 2018-11-13 09:15:54
    Mbio hizo zinazotambuliwa na shirikisho la riadha la kimataifa (IAAF), zilishirikisha wanariadha 1,479 kwa upande wa kilomita 42 kutoka mataifa mbalimbali duniani.

    Kwa upande wa wanawake mshindi wa mbio hizo ni Medine Armino wa Ethiopia aliyetumia saa 2:29.30 akifuatiwa na Nazret Gebrehiwet wa Eritrea 2:29.30 huku nafasi ya tatu ikienda kwa Muethiopia mwingine Selamawit Tsegaw aliyemaliza kwa saa 2:31.40.

    Kwa upande wa wanaume mshindi aliibuka Mohamed El Aaraby kutoka Marta aliyetumia saa 2:10.41 akifuatiwa na Mganda Felix Chemonges 2:11.54 huku nafasi ya tatu ikienda kwa Deresa Ulfata wa Ethiopia aliyetumia saa 2:12.31.

    Washindi wa mbio hizo wataingia katika shindano la kufuzu kwa mashindano ya dunia yatakayofanyika Doha Qatar mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako