Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ameongoza mkutano wa 5 wa kamati hiyo kuhusu mpango mzima wa mageuzi ya kina.
Rais Xi ametaka sera ya mageuzi na kufungua mlango ipewe kipaumbele zaidi, na kutimiza lengo la kuboresha na kuendeleza mfumo wa ujamaa wenye umaalum wa Kichina na kuufanya mfumo wa China kuwa wa kisasa na uwezo wa uongozi.
Pia ametaka juhudi zaidi zifanyike kuendeleza mageuzi na ufunguaji wa mlango katika zama mpya.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |