• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aondoka Beijing kuhudhuria mkutano wa APEC

    (GMT+08:00) 2018-11-15 10:36:22
    Rais Xi Jinping wa China ameondoka Beijing kuelekea ziarani nchini Papua New Guinea, Brunei, na Ufilipino na kukutana na wakuu wa nchi za visiwa za Bahari ya Pasifiki zilizoanzisha uhusiano wa kibalozi hivi karibuni na China.

    Pia kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Jamhuri Huru ya Papua New Guinea Peter O'Neill, rais Xi atahudhuria mkutano usio rasmi wa 26 wa wakuu wa Shirika la Ushirikiano wa Kiuchumi la Asia na Pasifiki APEC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako