• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Bodi ya ligi (TFF) yatoa yamko la kibabe kuhusu dirisha dogo

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:20:13
    Baada ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa jana, mkurugenzi wa bodi ya ligi ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) Boniphace Wambura amesema hakutakuwa na siku za nyongeza juu ya usajili wa wachezaji kutokana na mfumo mpya unaotumika sasa wa TFF FIFA connect.

    Wambura ameeleza hayo kutokana na mazoea ya klabu kuchelewa kufanya usajili wa wachezaji wakiamini kutakuwa na siku za nyongeza hapo baadaye.

    Dirisha hilo limefunguliwa jana na litafungwa Disemba 15 wakati huo mechi za ligi zitakuwa zikiendelea kama kawaida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako