• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BAISKELI: Mashindano ya Baiskeli ya Tour du Rwanda 2019 yazinduliwa mjini Kigali

    (GMT+08:00) 2018-11-16 09:20:31
    Mashindano ya 11 ya mbio za baiskeli yanayojulikana zaidi kama Tour du Rwanda 2019 yamezinduliwa jana mjini Kigali, mashindano hayo yanatarajiwa kuanza Februari 24 hadi Machi 3 mwakani.

    Shirikisho la mchezo huo la Rwanda (FERWACY) limesema mashindano hayo huvutia waendesha baiskeli 500 toka nchi mbalimbali duniani watashiriki mashindano hayo, mwendesha baiskeli Samuel Mugisha ndio anashikilia ubingwa wa mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako