• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Palestina yasema mswada wa azimio la Marekani unaoikosoa Hamas ni kinyume na ukweli

    (GMT+08:00) 2018-11-19 10:52:29

    Katibu mkuu wa kamati ya utendaji ya Chama cha Ukombozi cha Wapalestina PLO Bw. Saeb Erekat amesema mswada wa azimio wa Marekani unaolikosoa kundi la Hamas kuchochea mabavu na kurusha roketi dhidi ya Israel uliowasilishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unakwenda kinyume na ukweli. Ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kukabiliana na "hatua za utawala wa rais Donald Trump wa Marekani."

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako