• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Macron atoa wito wa Ulaya yenye umoja na uhuru

    (GMT+08:00) 2018-11-19 10:52:50

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa aliye ziarani nchini Ujerumani ametoa wito wa kuijenga Ulaya iwe na umoja, nguvu zaidi na uhuru. Akiwahutubia wabunge wa Ujerumani katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Ujerumani ya Kuomboleza wahanga wa vita na mgogoro, rais Macron amesema Ulaya inakabiliwa na changamoto mbalimbali kama vile mabadiliko ya hali ya hewa, migogoro ya kibiashara na uhamiaji, Ufaransa na Ujerumani zina wajibu wa kuzuia dunia isiingie kwenye ghasia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako