• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Aliyeiroga Tanzania kisoka amekwisha kufa: Bao la dk 89 laitupa nje

    (GMT+08:00) 2018-11-21 09:04:06
    Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 imetupwa nje mbio za kuwania tiketi ya olimpiki ya mwaka 2020 nchini Japan licha ya ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Burundi mchezo uliochezwa usiku wa jana uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

    Burundi inaitoa Tanzania kwa faida ya goli la ugenini kuhesabika mara mbili baada ya ushindi wa goli 2-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Bujumbura.

    Matokeo hayo yanakuja siku mbili tu baada ya timu ya wakubwa ya taifa stars kukubali kipigo cha 1-0 dhidi ya Lesotho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako