• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Kocha wa Manny Pacquiao kumsimamia Tyason Fury.

    (GMT+08:00) 2018-11-21 09:07:51
    Kuelekea pambano lake dhidi ya Deontay Wilder, bondia Tyson Fury anatarajiwa kumtumia Freddie Roach kuwepo katika kona yake wakati wa pambano hilo la uzito wa juu.

    Roach ni kocha wa zamani wa bondia Manny Pacquiao na amekuwa karibu na Fury ambaye tayari yupo Los Angeles akijifua kwa ajili ya pambano hilo.

    Pambano hilo la raundi 12 litapigwa Desemba 1, 2018 kwenye Ukumbi wa Staples Center, Los Angeles, California, Marekani ambapo Wilder anatetea mkanda wake wa WBC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako