• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Nabii hakubaliki kwao, Mane amwagiwa mvua ya matusi

    (GMT+08:00) 2018-11-22 10:08:58
    Ule msemo wa Nabii hakubaliki kwao ndivyo ulivyohidhirika kwa Sadio Mane, pale ambapo mashabiki wa Liverpool wakikoshwa na kiwango cha staa huyo wa kimataifa wa Senegal, hali ni tofauti na nyumbani kwao.

    Mchezaji huyo ameondoka uwanjani akilia baada ya kuzomewa kwa muda wote wa pambano kati ya timu ya taifa ya Senegal dhidi ya timu ya taifa ya Guniea ya Ikweta.

    Senegal ilishinda bao 1-0 lakini muda mwingi wa mchezo Mane alikuwa akizomewa na mashabiki baada ya kukosa nafasi moja ya wazi katika lango la wapinzani.

    Sebegal imefuzu AFCON na sasa inaongoza katika kundi lake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako