• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: Mchezaji wa Washington Wizard agombana na kocha

    (GMT+08:00) 2018-11-22 10:10:06
    Mchezaji maarufu (Point Guard) wa Washington Wizard inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Marekani NBA, John Wall ameingia katika matatizo na uongozi wa klabu yake baada ya kumtolea lugha chafu kocha wake, Scott Brook wakati wa mazoezi baada ya kusuluhisha ugomvi kati ya mchezaji huyo na mchezaji mwenzake John Wall.

    Tayari uongozi wa wizard umetangaza kuwauza wachezaji hao kwa timu itakayowahitaji, ukiachana na hao pia wamemuweka sokoni porter junior. Ni ngumu kuwa na kundi la wachezaji wasiopendana kuweza kushinda kwahiyo basi timu ya wizard haina budi kuwauza ili waweze kutengeneza kikosi kitakachoweza kupambana na kuwa na upendo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako