• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Safaricom kutoa zawadi ya data kwa wateja wake

    (GMT+08:00) 2018-11-22 18:58:57

    Kampuni ya mawasiliano nchini Kenya Safaricom imetangaza zawadi ya data kwa wateja wake kwa jina "Asante Data Sunday".

    Chini ya mpango huo wateja watarejeshewa data yote waliotumia 23 na 24 Novemba siku ya Jumapili.

    Mkurungezi wa kitengo cha wateja kwenye kampuni hiyo Charles Kare amesema zawadi hiyo itakuwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 18 ya kampuni hiyo

    Amesema imani ya zaidi ya wateja milioni 17 wa kampuni hiyo ndio imeiwezesha kufikia kiwango cha kimataifa na hivyo haina budi kuwatambua kila mara.

    Ili kupokea data wateja watabonyeza *444*20#.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako