• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • kenya: Soko huru katika Juimuya Afrika Mashariki liko taabani baada ya Kenya kupanga kutoza ada kampuni za Tanzania nchini Kenya.

    (GMT+08:00) 2018-11-23 20:31:58

    Kenya inazingatia kulipisha visa za biashara za wa Tanzaniani sh 25,000 wanaokuja Kenya kwa madhumuni ya biashara.

    Malipo, ambayo sasa imewekwa na Tanzania kwa washirika wote wa Jumuiya ya Mashariki ya Afrika ni ya utoaji wa hati ya kazi ya muda mfupi.

    Kwa mujibu wa waziri wa Viwanda Peter Munya, Kenya itaendelea kushikilia visa ya ubaguzi hadi pale Tanzania itapungua ada wanazotoza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako