• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Uganda ya onya Benki juu ukuaji wa mikopo

    (GMT+08:00) 2018-11-26 20:01:56

    Benki ya Uganda (BoU) inashauri mabenki ya biashara kuwa waangalifu kwa sababu ya ukuaji wa mikopo.

    Idadi ya mikopo kwenye soko iliongezeka kwa asilimia 8.6 mnamo Septemba 2018 ikilinganishwa na asilimia 1.5 mwaka 2017.

    Hii ni pamoja na wastani wa mikopo ya asilimia 19.1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako