• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu zaidi laki 5.2 watembelea Maonyesho ya Mageuzi na Kufungua mlango ya China

    (GMT+08:00) 2018-11-27 18:23:40

    Zaidi ya watu laki 5.2 wametembelea Maonyesho ya kuadhimisha miaka 40 tangu China ianze kutekeleza sera ya mageuzi na kufungua mlango mpaka kufikia jana.

    Nyaraka, picha, video mbalimbali, na teknolojia ya vyombo vipya vya habari zimeonyeshwa katika maonyesho hayo, ambapo pia mawasiliano kati ya watu wa sekta mbalimbali yamefanyika katika wiki mbili zilizopita.

    Maonyesho hayo yalianza terehe 13 mwezi huu katika Jumba la Makumbusho la Taifa la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako