• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China inatarajia matokeo mazuri yatapatikana katika mkutano wa marais wa China na Marekani

    (GMT+08:00) 2018-11-28 09:25:24

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Geng Shuang amesema China inatarajia kuwa Marekani itakwenda sambamba na China na kuufanikisha mkutano ujao kati ya marais wa nchi hizo mbili. Akizungumzia kauli iliyotolewa na rais Donald Trump wa Marekani ambayo alisema "hakuna uwezekano kwa Marekani kupokea ombi la China la kuacha kuongeza ushuru dhidi ya bidhaa za China", Bw. Geng amesema China imesisitiza mara kwa mara kuwa kiini cha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya nchi hizo mbili, ni kunufaisha pande zote mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako