• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco yazuia majaribio elfu 76 ya uhamiaji haramu mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-11-28 09:26:07

    Ofisa wa Morocco amesema mamlaka za Morocco zimezuia majaribio elfu 76 ya uhamiaji haramu na kuvunja jumla ya mitandao 174 ya usafirishaji haramu wa binadamu mwaka huu. Morocco imekuwa kituo kwa wahamiaji wa Afrika wanaotafuta maisha bora, kujaribu kuingia Ulaya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako